KANYE WEST NA BILLIE EILISH WATAJWA  KUWA VINARA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA 2022

KANYE WEST NA BILLIE EILISH WATAJWA KUWA VINARA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA 2022

Rapa Kanye West pamoja na msanii mwenzake Billie Ellish wametajwa kuwa watakuwa wasanii vinara kwenye tamasha la maarufu la muziki nchini Marekani, Coachella mwaka wa 2022. Chanzo kimoja kimeuthibitishia mtandao wa Variety kuhusu taarifa hii. Hii itakuwa mara ya pili kwa Kanye West kuwa msanii kinara kwenye tamasha hilo kubwa, mwaka 2011alifanya hivyo tena huku […]

Read More