Msanii BillNass Aonyesha Mali Zilizookolewa Kwenye Moto
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, BillNass, ameibuka tena kwenye mitandao ya kijamii baada ya ukimya wa muda kufuatia tukio la ghasia za Uchaguzi Mkuu lililosababisha duka lake la Nenga Tronix kuchomwa moto. Kupitia WhatsApp Status, BillNass alichapisha video fupi inayoonyesha baadhi ya mali zilizookolewa, ikiwemo simu, laptop, na pesa taslimu zilizobaki salama licha ya […]
Read More