MWANAMUZIKI DR. BITONE AAPA KAMWE HATOREJEA UGANDA

MWANAMUZIKI DR. BITONE AAPA KAMWE HATOREJEA UGANDA

Msanii  anayesusua kimuziki nchini Uganda Dr. Bitone ameapa kutorejea nchini humo baada ya kusafiri nchini Uingereza wiki iliyopita kwa ajili ya onyesho la muziki. Kupitia video aliyoiweka kwenye mitandao yake ya kijamii Dr. Bitone amesikika akisema “Kila kitu hapa ni kizuri. Ninawezaje kurudi Uganda? Samahani watu wangu wa Uganda,” Ujumbe huo umetafsiriwa na wadau wa […]

Read More