Wasanii wa Nigeria waitawala Soundtracks za filamu ya “Black Panther: Wakanda Forever”

Wasanii wa Nigeria waitawala Soundtracks za filamu ya “Black Panther: Wakanda Forever”

Wasanii wa Nigeria wanaendelea kuwafundisha kazi wasanii wa mataifa mengine barani Afrika, waitawala Tracklist ya Soundtracks za filamu ya “Black Panther: Wakanda Forever” yenye Jumla ya nyimbo 19. Mbali na Rihanna, wasanii wa Nigeria wameshiriki kwa ukubwa kwenye Soundtrack ya filamu hiyo akiwemo Burna Boy, Tems, Fireboy DML, CKay na Rema. Album hiyo imetayarishwa na […]

Read More