Filamu ya Wakanda kuzinduliwa Nigeria

Filamu ya Wakanda kuzinduliwa Nigeria

Filamu maarufu ya ‘Black Panther: Wakanda Forever’ inayosubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa filamu Duniani kote iliyotayarishwa na Marvel Studio’s, inatarajiwa kuzinduliwa rasmi nchini Nigeria katika jiji la Lagos, kabla ya kutolewa kwake katika sinema ifikapo Novemba 11 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa, uzinduzi huu unatajwa kuwa ni wa Dunia nzima, na hayo […]

Read More