Jackie Matubia Aeleza Changamoto Alizopitia Katika Malezi ya Pamoja na Ex Wake
Muigizaji maarufu wa Kenya, Jackie Matubia, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto alizokumbana nazo alipokuwa akijaribu kulea mtoto kwa ushirikiano (co-parenting) na aliyekuwa mpenzi wake, Blessing Lung’aho. Akiwa mgeni kwenye G2G Podcast, Jackie alisema alijitahidi kwa dhati kuhakikisha kuwa mtoto wao analelewa katika mazingira ya upendo na ushirikiano, lakini juhudi zake hazikueleweka vyema na […]
Read More