Mama mzazi wa Blueface akataa ujauzito wa Chrisean

Mama mzazi wa Blueface akataa ujauzito wa Chrisean

Baada ya Chrisean kudai kuwa ana ujauzito wa Blueface, mama mzazi wa rapa huyo ameibuka na kufunguka kuwa mrembo huyo hana ujauzito. Mama mzazi wa Blueface anayefahamika kwa jina la Karlissa ametumia instastory yake kumchana mkwewe kuwa aache kucheza michezo ya kitoto kwani anajua fika kuwa hana ujauzito. Na katika kupigilia msumari ili swala hilo amemtaka Chrisean kufanya kipimo cha ujauzito Live instagram kama ni kweli ana ujauzito.

Read More
 BLUEFACE APIGWA NGUMI YA USO NA MCHUMBA WAKE CHRISEAN ROCK

BLUEFACE APIGWA NGUMI YA USO NA MCHUMBA WAKE CHRISEAN ROCK

Rapa kutoka Marekani Blueface amepigwa ngumi ya uso na Girlfriend wake Chrisean Rock kwa mara nyingine tena. Kwa mujibu wa TMZ, polisi walimtia pingu mrembo huyo na kumfikisha kituoni. Huu umekuwa ni muendelezo wa vita baina yao, Agosti 3 mwaka huu wawili hao walitwangana na kunaswa kwenye video ya CCTV ambapo Blueface alisikika kwenye video akilalamika kukuta Rock anawasiliana na wanaume wengine kwenye simu, ikiashiria vitendo vya usaliti.

Read More