EDDY YAWE AMTAKA CATHERINE KUSASIRA KUJIUNGA NA CHAMA CHA KISIASA CHA NUP
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Eddy Yawe ametoa wito kwa msanii mwenzake Catherine Kusasira kujiunga na chama cha NUP kinachongozwa na Bob Wine. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Eddy Yawe amesema kama kweli Kusasira amechoshwa na chama tawala cha NRM,itakuwa ni jambo la busara kwa msanii huyo kujiunga na NUP, chama ambacho kinapigania demokrasia nchini […]
Read More