Bobi Mapesa kuachia album yake mpya Desemba mwaka huu

Bobi Mapesa kuachia album yake mpya Desemba mwaka huu

Msanii wa mkongwe kwenye muziki nchini Bobi Mapesa ametangaza ujio wa album yake baada ya ukimya wa miaka mitatu. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Mapesa amesema kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya mwisho ya album yake mpya ambayo ana mpango wa kuichia Disemba 25 mwaka huu. Bobi Mapema ambaye allikuwa anaunda kundi la The Bugz […]

Read More