Bobi Wine Avurugana na Polisi wa Kutuliza Ghasia Mbarara Uganda
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, ameingia kwenye mzozo mkali na polisi wa kutuliza ghasia katika mji wa Mbarara, baada ya timu yake ya kampeni kushambuliwa na watu wasiojulikana, katika kile kinachoonekana kuwa kuongezeka kwa vurugu wakati wa ziara yake ya kisiasa magharibi mwa nchi. Kisa hicho, kilichorekodiwa kwenye video ambayo sasa imesambaa mtandaoni, […]
Read More