Prodyuza Bobix amshutumu Bebe Cool kwa wizi wa beat ya wimbo
Mwanamuziki Moses Ssali maarufu Bebe Cool kwa mara nyingine tena amegonga vichwa vya habari kwa tuhuma za kuiba mdundo wa wimbo wake mpya uitwao ““Don’t Stop”. Kulingana na mtayarishaji wa muziki aitwaye Bobix Pro ameumizwa na kitendo cha bosi huyo wa Gagamel kutumia kazi yake bila idhini. Mtayarishaji huyo maarufu anadai Bebe Cool na watayarishaji […]
Read More