DADDY ANDRE AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA VIDEO VIXEN BOBO SHAN

DADDY ANDRE AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA VIDEO VIXEN BOBO SHAN

Msanii na prodyuza wa muziki kutoka nchini Uganda Daddy Andre amekanusha uvumi unaotembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatoka kimapenzi na video vixen Bobo Shan ambaye anadaiwa ana uja uzito wake . Akiwa kwenye moja ya Interview Daddy Andrea  amesema uvumi huo hauna ukweli wowote ikizingatiwa kuwa hamfahamu kabisa mrembo huyo. Hitmaker “Omwana Bandi” amesema […]

Read More