Upendo wa Nandy kwa Billnass Wagusa Mioyo ya Mashabiki Mitandaoni
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Nandy, ameonesha kwa mara nyingine ukubwa wa mapenzi yake kwa mume wake ambaye pia ni rapa, Billnass, kwa kauli ya kugusa hisia iliyoacha wengi wakitafakari juu ya upendo wa dhati. Kupitia mahojiano ya hivi karibuni, Nandy alieleza kuwa mapenzi yake kwa Billnass ni ya kipekee kiasi kwamba hawezi hata kufikiria […]
Read More