PRODYUZA MKONGWE WA BONGO P FUNK MAJANI MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA
Producer Mkongwe wa muziki kutoka nchini Tanzania, P Funk Majani amesema albamu yake imekamilika kwa asilimia 80. Kupitia ukurasa wake wa Twitter prodyuza huyo kutoka Bongo Records amesema album itaingia sokoni machi 30 mwaka huu wa 2022 ingawa hajaweka wazi jina la album na idadi ya ngoma zitakazopatikana kwenye album yak hiyo. “My album MAJANI […]
Read More