Eric Omondi Atoa Wito wa Msaada kwa Boniface Kariuki Aliyepigwa Risasi Nairobi

Eric Omondi Atoa Wito wa Msaada kwa Boniface Kariuki Aliyepigwa Risasi Nairobi

Mchekeshaji maarufu wa Kenya, Eric Omondi, ametoa wito wa dhati kwa Wakenya kuungana kwa pamoja katika kumsaidia Boniface Kariuki, kijana aliyepigwa risasi jijini Nairobi, kwa kuchangia gharama za matibabu na pia kuwasaidia wazazi wake kuanzisha biashara ndogondogo ili waweze kujikimu kimaisha. Kupitia ujumbe aliouweka kwenye mitandao ya kijamii, Eric Omondi alieleza kusikitishwa na tukio hilo […]

Read More