Msanii Mkongwe Eric Wainaina Amuunga Mkono Boniface Mwangi Kufuatia Kesi ya Uchochezi

Msanii Mkongwe Eric Wainaina Amuunga Mkono Boniface Mwangi Kufuatia Kesi ya Uchochezi

Mwanamuziki mkongwe nchini Kenya, Eric Wainaina, ametangaza hadharani kumuunga mkono mwanaharakati Boniface Mwangi, anayekabiliwa na mashtaka mazito kuhusiana na maandamano ya kupinga serikali yaliyofanyika Juni 25 mwaka 2025. Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii, Wainaina aamempongeza Mwangi kwa ujasiri wake katika kupigania haki na kusema kuwa haki na uhuru wa kuandamana haupaswi kuchukuliwa kama ugaidi. […]

Read More