Boomplay Kenya yataja wasanii waliosikilizwa zaidi mwaka 2022

Boomplay Kenya yataja wasanii waliosikilizwa zaidi mwaka 2022

Katika kufunga mwaka kwenye tasnia ya muziki nchini, App namba moja kwenye utoaji wa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, Boomplay, imetoa takwimu zake za kila mwaka, “Boomplay Recap 2022”. Boomplay music Kenya imewataja wanamuziki watatu wa kiume na wakike walioongoza kwa kusikilizwa mwaka huu kwenye App hiyo. Kwa mujibu wa Boomplay wanamuziki […]

Read More