WASANII WA BOONDOCKS GANG EXRAY NA ODI WA MURANG’A WAFUNGUKA KUHUSU HALI YA EDU MADOXX

WASANII WA BOONDOCKS GANG EXRAY NA ODI WA MURANG’A WAFUNGUKA KUHUSU HALI YA EDU MADOXX

Wasanii wa Boondocks gang, Exray na Odi wa Murang’a wamejibu tuhuma zilizoibuliwa na aliyekuwa member wa kundi hilo, Edu Maddox. Wakipiga stori na podcast ya Presenter Ali wasanii hao wamekanusha madai ya  kumtumia vibaya Madoxx huku wakisema kwamba msanii huyo alikuwa anapenda sana kuishi maisha ya starehe, kitendo ambacho kilimpelekea kushindwa na shughuli za muziki. Aidha wamesema kwamba walihamua kujitenga […]

Read More
 KUNDI LA MUZIKI WA GENGETONE, BOONDOCKS GANG LAVUNJIKA RASMI

KUNDI LA MUZIKI WA GENGETONE, BOONDOCKS GANG LAVUNJIKA RASMI

Msanii wa kundi la Boondocks Gang, Madoxx amethibitisha rasmi kuvunjika kwa kundi hilo ambalo lilikuwa linaundwa na wasanii Exray na Odi wa Muranga. Katika Mahojiano yake ya hivi karibuni na Presenter Ali, Madoxx amesema wasanii waliokuwa wanaunda kundi hilo Exray na Odi walianza kumtelekeza kwa kumu-unfollow kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya kuachia wimbo […]

Read More