Patoranking Aitembelea Kambi ya Borussia Dortmund Florida
Mwanamuziki nyota kutoka Nigeria, Patoranking, leo ametembelea kambi ya mazoezi ya klabu ya Borussia Dortmund iliyoko Fort Lauderdale, Florida, Marekani. Kupitia kurasa rasmi za Borussia Dortmund, picha kadhaa zimeonesha msanii huyo akikutana na wachezaji wa timu hiyo, akisalimiana nao na kubadilishana mawazo. Uongozi wa klabu hiyo umeeleza kufurahishwa na ujio wa Patoranking, wakisema ilikuwa heshima […]
Read More