Boutross Atetea Wasanii wa Kenya Kushiriki Event za Serikali

Boutross Atetea Wasanii wa Kenya Kushiriki Event za Serikali

Msanii wa muziki wa hip hop, Boutross Munene, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mjadala unaoendelea wa wasanii kutumbuiza kwenye hafla zinazohusishwa na serikali. Akipiga stori na Iko Nini Podcast, rapa huyo amesema kuwa hatowahi kuacha kutafuta kazi kwa sababu ya mivutano ya kisiasa kwa kuwa hatashindwa kujikimu kimaisha. Kwa mujibu wake, uaminifu wake uko kwenye […]

Read More