Rapa kutoka Kenya Boutross aachia rasmi Album yake mpya

Rapa kutoka Kenya Boutross aachia rasmi Album yake mpya

Rapa kutoka nchini Kenya Boutross ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la Mawingu. Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 9 za moto, ina kolabo 7 kutoka kwa wakali kama Trio Mio, Maandy, Juice Man, Young Kith, Savage, na Beevlings. Mawingu Album kwa sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani na ina […]

Read More
 BOUTROSS AACHIA RASMI KABLA MTINDO EP

BOUTROSS AACHIA RASMI KABLA MTINDO EP

Hatimaye Rapa kutoka nchini Kenya Boutross ameachia rasmi EP yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. Hitmaker huyo  wa ngoma ya “Yea Yea Yea” amewabarki mashabiki zake na  “Kabla Mtindo” , EP ambayo ina jumla ya nyimbo 8 za moto, ikiwa na kolabo 7 pekee kutoka kwa wakali kama Chinbees, Ndovu Kuu,Barack Jacuzzi, Munyax,na wengine […]

Read More