BOW BOW ATANGAZA KUACHIA ALBUM YAKE MWISHO CHINI YA DEATH ROW INAYOMILIKIWA NA SNOOP DOGG
Rapa kutoka nchini Marekani Bow Wow ambaye juzi kati alitangaza kuachana Muziki, ameurudi kule ambako safari yake ilianzia, ambapo ni mikononi mwa rapa Snoop Dogg ambaye aligundua kipaji chake akiwa na umri wa miaka 6. Kupitia ukurasa wake Twitter Bow Wow ametusanua kuwa album yake ya mwisho kwenye muziki ‘Before 30’ itatoka chini ya lebo […]
Read More