BOW WOW AMKANA HADHARANI PRODYUZA JERMAINE DUPRI
Rapa kutoka Marekani Bow Wow anaendelea kumkana prodyuza Jermaine Dupri ambaye wote tunaamini ana mchango mkubwa kwenye maisha ya muziki ya rapa huyo. Bow Wow ameibuka na kusema Dupri hapaswi kupewa sifa zozote kwamba alihusika katika kumtoa kimuziki, bali sifa zote ziende kwa Snoop Dogg ambaye alimvumbua na kumpa jina. Hayo yameibuka baada ya shabiki […]
Read More