Brazil yatupwa nje Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Croatia imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Dunia kwa kuiondosha Brazil kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya timu hizo kumaliza dakika 120 zikiwa sare ya 1-1 Brazil ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye michuano hiyo kabla ya kukutana na kigingi cha Croatia walioendeleza […]
Read More