Msanii Bien Atikisa Marekani, Aipa Heshima Kenya Katika The Breakfast Club
Msanii mashuhuri wa Kenya, Bien Aime Baraza, ameweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla kuhojiwa katika kipindi maarufu cha The Breakfast Club nchini Marekani. Hatua hii imepokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki wa muziki barani Afrika, ikionekana kama mafanikio makubwa kwa muziki wa ukanda huu. Katika mahojiano hayo […]
Read More