DADDY OWEN AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA BRENDA WAIRIMU
Staa wa muziki nchini Daddy Owen amevunja kimya chake juu ya tuhuma za kumtaka kimapenzi mwiigizaji Brenda Wairimu kupitia mitandao yake ya kijamiii. Kupitia ukurasa wake wa instagram Daddy Owen ameonyesha kufurahishwa na namna watu walifsiri ujumbe wake kwenda kwa brenda wairimu huku akisema kwamba hana uhusiano wowote wa kimapenzi na mrembo huyo. Hitmaker “Vanity” […]
Read More