MSANII WA BONGOFLEVA HARMONIZE AKANUSHA KUWA SINGLE

MSANII WA BONGOFLEVA HARMONIZE AKANUSHA KUWA SINGLE

Baada ya kuchukua headlines siku ya jana kwa kuelezea kuwa hana mpenzi mwanamuziki wa Bongofleva Harmonize ameibuka kukanusha taarifa hizo ambazo zilienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram mkali huyo wa ngoma ya Teacher’ ameandika ujumbe wa kukanusha taarifa hizo ,huku akitaka kuheshimiwa akiambatanisha na emoji za […]

Read More
 PENZI LA HARMONIZE NA BRIANA LAINGIWA NA UKUNGU,HARMONIZE ATANGAZA KUWA SINGLE

PENZI LA HARMONIZE NA BRIANA LAINGIWA NA UKUNGU,HARMONIZE ATANGAZA KUWA SINGLE

Huenda penzi la mwanamuziki na C.E.O.wa KondeGang Harmonize na mpenzi wake mzungu raia wa Australia Briana limevunjika. Kulingana na mfululizo wa post zake kupitia insta story yake kwenye mtandao wa instagram harmonize amesema kuwa haamini kama yupo singo tena. Haikuishia hapo ameenda mbali na kuandika ujumbe ambao unahisiwakumlenga moja kwa moja mchumba wake Briana kwa […]

Read More
 BRIANA AMTOA HARMONIZE KWENYE ULIMWENGU WA ANDROID

BRIANA AMTOA HARMONIZE KWENYE ULIMWENGU WA ANDROID

Mpenzi wa Harmonize, Briana amemzawadi bosi huyo wa lebo ya muziki ya Konde Gang Worldwide simu aina ya i-Phone 13. Harmonize amethibitisha hilo kupitia InstaStory yake kwenye mtandao wa Instagram ambapo ameonyesha kuanza kutumia simu aina iphone kwa mara ya kwanza.  Hitmaker huyo wa “Teacher” amempongeza mpenzi wake mpya Briana kwa kusema kwamba amekuwa chachu […]

Read More