Britney Spears Asema Aliwekewa Vizuwizi vya Kingono Wakati wa Uangalizi wa Kisheria
Malkia wa muziki wa pop, Britney Spears, ameibua hali ya sintofahamu mitandaoni baada ya kufichua madai ya kushtua kuhusu kile alichopitia wakati wa kipindi cha conservatorship (uangalizi wa sheria) kilichodumu kwa zaidi ya miaka 13. Kupitia chapisho kwenye mitandao ya kijamii, Britney alidai kwamba alilazimishwa kuvaa nguo za ndani zenye tabaka tatu ili kumzuia kufanya […]
Read More