BRITNEYS SPEARS APEWA UHURU WA KUMILIKI MALI ZAKE

BRITNEYS SPEARS APEWA UHURU WA KUMILIKI MALI ZAKE

Baada ya miaka 13 kupita bila kuwa na uhuru na mali zake hatimaye mwanamuziki kutoka nchini Marekani Britney Spears amepewa uhuru na mahakama Mwanamuziki huyo nguli duniani aliwekewa kizuizi cha maamuzi juu ya mali zake na baba yake mzazi Jamie Spears kupitia mahakama ya nchini humo, mnamo mwaka wa 2008 kotokana na kushindwa kujimudu kimwili […]

Read More