BROWN MAUZO ATAMANI VERA SIDIKA AMZALIE WATOTO WENGI ZAIDI
Staa wa muziki nchini Brown Mauzo amedai kwamba anataka kupata watoto wengi na mke wake Vera Sidika ambaye ni Socialite maarufu Afrika Mashariki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Mauzo amewataka wakenya wamsaidie kumshawishi mrembo huyo ili aweze kufanikisha azimio lake la kupata watoto wengi nae. Hata hivyo watumiaji wa mitandao ya kijamii wameonekana kufarahishwa na […]
Read More