Brown Mauzo Asema Valentines’s Day ni kwa Mabinti walio Chini ya Miaka 25
Mwanamuziki Brown Mauzo amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kudai kidai kuwa Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day), ni maalum kwa wanawake walio chini ya umri wa miaka 25. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Brown Mauzo amesema kuwa wanawake waliovuka umri huo wanapaswa kusubiri Siku ya Wanawake Duniani (Women’s Day) kusherehekea siku hiyo, badala ya kushindana […]
Read More