Bruce Melody aachia Album yake mpya Colorful Generation
Mwanamuziki maarufu nchini Rwanda, Bruce Melodie, ameachia albamu yake mpya Colorful Generation. Albamu hii ina nyimbo 21 na inajumuisha mchanganyiko wa Afropop, Amapiano, na R&B, ikiwa na kolabo na wasanii kama Joeboy, Blaq Diamond, Bien na Bensoul. Nyimbo maarufu kwenye albamu ni “Beauty on Fire” akiwa na Joeboy, na “Niki Minaji” na Blaq Diamond, ambayo […]
Read More