BRUNO K AMCHANA CINDY SANYU KWA KUSHINDWA KUWATETEA WASANII
Mwanamuziki kutoka nchini uganda Bruno K amemtolea uvivu msanii mwenzake Cindy Sanyu hii ni baada ya msanii huyo kudai kwamba Bruno K alisaini mkataba na lebo ya muziki ya Black markert Records bila kuelewa mkataba wenyewe. Akiwa kwenye moja ya interview Bruno K amesema madai ya Cindy ambaye ni rais wa chama cha wanamuziki […]
Read More