Breaking!

Криптоплатежі в Pokerbet casino: практичний гід
Content Review 450-341142-412ca77dfe59
Content Review 449-339449-300da34c7b9a
Genügend_Spielauswahl_und_faire_Bedingungen_erwarten_dich_beim_Test_von_fezbet
September 22, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: bruno k

 Bruno K Akanusha Tuhuma za Kusababisha Kifo cha Gogo Gloriose
Robert Elim September 10, 2025
Comments (0)

Bruno K Akanusha Tuhuma za Kusababisha Kifo cha Gogo Gloriose

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Bruno K, amekanusha vikali tuhuma za kusababisha kifo cha mwimbaji wa Injili kutoka Rwanda, Gogo Gloriose, aliyefariki dunia nchini Uganda tarehe 4 Septemba baada ya kuugua kwa muda mfupi. Bruno K amesema kuwa aliumizwa sana na madai ya baadhi ya wanablogu wa Uganda ambao walieneza uvumi kuwa alimfanyisha kazi kupita […]

Read More
 Msanii wa Uganda Bruno K Aanzisha Kampeini ya Kuchangia Mazishi ya Gogo Gloriose
Robert Elim September 6, 2025
Comments (0)

Msanii wa Uganda Bruno K Aanzisha Kampeini ya Kuchangia Mazishi ya Gogo Gloriose

Mwanamuziki kutoka Uganda, Bruno K, ameanzisha kampeni ya kuchangisha fedha kusaidia mazishi ya msanii wa injili wa Rwanda, Gogo Gloriose, aliyefariki dunia nchini Uganda tarehe 4 Septemba baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kupitia TikTok Live akiwa na meneja wa marehemu, Bruno K ameeleza kuwa kuna uhitaji wa dharura wa msaada wa kifedha ili kulipa […]

Read More
 Bruno K amjibu msanii Byg Ben kuhusu ukabila kwenye muziki Uganda
Robert Elim January 12, 2023
Comments (0)

Bruno K amjibu msanii Byg Ben kuhusu ukabila kwenye muziki Uganda

Msanii Bruno K ametofautiana kimawazo na msanii chipukizi Byg Ben aliyedai kuwa ni vigumu kwa wasanii wasioimba nyimbo kwa lugha ya luganda kufanikiwa kisanaa nchini Uganda kutokana na ubaguzi wa kikabila uliokithiri nchini humo. Kupitia mitandao yake ya kijamii amemtaka msanii huyo kutia bidii kwenye kazi zake badala ya kutoa malalamiko yasiokuwa na msingi kwani […]

Read More
 BRUNO K NA BINTIYE BRIELLA WALAMBA SHAVU LA UBALOZI IMPERIAL LEATHER UGANDA
Robert Elim March 1, 2022
Comments (0)

BRUNO K NA BINTIYE BRIELLA WALAMBA SHAVU LA UBALOZI IMPERIAL LEATHER UGANDA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Bruno K pamoja na binti yake Briella wamelamba dili nono la ubalozi wa kampuni ya Imperial Leather. Bruno K amethibitisha taarifa hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare baadhi ya picha zikiwaonyesha wakitia sahihi mkataba wa maelewano na uongozi wa kampuni ya Imperial Leather. Hata hivyo […]

Read More
 OSCAR ADAI BRUNO K ALIKIMBIA NA PESA ZOTE WALIZOPOKEA KUTOKA KWA WAHISANI
Robert Elim December 13, 2021
Comments (0)

OSCAR ADAI BRUNO K ALIKIMBIA NA PESA ZOTE WALIZOPOKEA KUTOKA KWA WAHISANI

Siku chache  zilizopita msanii Bruno K alimtoa mwimbaji wa zamani wa Bigtym, Oscar kutoka kwenye lindi la umaskini. Hitmaker huyo wa Omulwa alimchuka msanii huyo na akaanza kumpa support, huku akiongoza kampeni ya kufufua kipaji  chake cha muziki ambacho kilikuwa kimefifia. Sasa  baada ya Oscar kupata afueni ameibuka na kumshutumu vikali Bruno K kwa madai […]

Read More

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.