Kundi la BTS lachukua mapumziko hadi mwaka 2025

Kundi la BTS lachukua mapumziko hadi mwaka 2025

Kundi maarufu la Muziki toka Korea Kusini – BTS limetangaza kupumzika kufanya kazi kama Kundi hadi mwaka 2025. Kundi hilo liliundwa mwaka 2010 na kuanza kufanya vizuri mwaka 2013 ambapo katika kipindi hicho wamefanikiwa kupata mafanikio makubwa ikiwemo kushinda Tuzo kubwa mbali mbali na kutawala chart kubwa za Muziki duniani. Sababu ya kufikia maamuzi hayo […]

Read More
 KUNDI LA BTS LATANGAZA KUCHUKUA MAPUMZIKO KWENYE MUZIKI

KUNDI LA BTS LATANGAZA KUCHUKUA MAPUMZIKO KWENYE MUZIKI

Kundi maarufu la muziki kutoka Korea la BTS, limetangaza rasmi kuchukua mapumziko ya kazi kwa sasa kama kundi huku likieleza kila memba wa kundi hilo atafanya muziki kivyake. Kwenye taarifa yao kupitia channel yao ya youtube wameeleza watarudi baadae na kisha kuendelea na kazi za pamoja. Kundi hilo lenye mafanikio makubwa, linaloundwa na wasanii  7 […]

Read More