STEFFLON DON ACHUKIZWA NA KAULI YA BURNA BOY,AMJIBU UMAARUFU NA PESA HUBADILISHA WATU
Mwanamuziki kutoka Uingereza ambaye ni mpenzi wa msanii kutoka Nigeria Burna Boy, Stefflon Don amechukizwa na hatua ya Burna Boy kujitangaza kuwa hana mpenzi kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia Instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Burna Boy aliandika ujumbe unaosomeka “Kwa taarifa yako, Odogwu hana mke.” Kauli hiyo ambayo iliamsha majibu ya wawili hao […]
Read More