Lydia Jazmine amaliza tofauti zake na Prodyuza Bushingtone

Lydia Jazmine amaliza tofauti zake na Prodyuza Bushingtone

Msanii kutoka nchini Uganda Lydia Jazmine ameweka kando tofauti zake na prodyuza Bushingtone baada ya kuwa na ugomvi wa muda mrefu. Kulingana na taarifa za ndani, Wawili hao wameonekana wakiwa studio wakiandaa kazi mpya pamoja. “Wameelewana na tayari wako studio wanafanya kazi pamoja katika project kadhaa,” chanzo kimoja kimefichua. Jitihada za vyombo vya habari nchini […]

Read More