Butita Atoa Wito wa Umoja Katika Hafla za Kitamaduni za Waluya
Mchekeshaji, Eddie Butita, amesikitishwa na migawanyiko katika hafla za kitamaduni za jamii ya Waluya, akitoa wito kwa jamii hiyo kuungana na kuandaa tamasha moja kubwa badala ya kuwa na hafla nyingi zilizotawanyika. Akizungumza kupitia akaunti yake ya Instagram, Butita amehoji umuhimu wa kuwa na sherehe nyingi na kusema kwamba jamii hiyo haijawahi kuwa na tukio […]
Read More