BYD Yaweka Rekodi ya Dunia kwa Gari la Umeme Lenye Kasi Zaidi
Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD, kupitia tawi lake la teknolojia ya hali ya juu, Yangwang, imeweka rekodi mpya ya dunia baada ya gari lao la Yangwang U9 Xtreme kufikia kasi ya 496.22 km/h (308.4 mph). Jaribio hilo lilifanyika katika uwanja wa majaribio wa ATP Papenburg nchini Ujerumani, na kuvunja rekodi ya […]
Read More