AFCON 2025 Kuwa na Zawadi Kubwa Zaidi Katika Historia
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF, limezindua rasmi mfumo mpya wa zawadi kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON elfu mbili ishirini na tano, zitakazoandaliwa nchini Morocco. Kwa mujibu wa CAF, michuano hiyo itashirikisha mataifa ishirini na manne, huku jumla ya zawadi ya kifedha ikifikia shilingi bilioni 4. Timu itakayonyakua ubingwa […]
Read More