Ombi la Kumtaka Gavana Newsom Kumsamehe Tory Lanez Lavuka Saini 250,000
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop, Tory Lanez, ameendelea kupata uungwaji mkono mkubwa mtandaoni kupitia ombi lililowekwa kwenye mtandao wa Change.org, likimtaka Gavana wa California, Gavin Newsom, amsamehe. Kwa siku tatu mfululizo, ombi hilo limekuwa namba moja kwa kupendwa na kusainiwa zaidi kwenye jukwaa hilo, na kufikisha zaidi ya saini 250,000. Ombi hilo linataka […]
Read More