Man United Yagonga Mwamba kwa Dili la Carlos Baleba

Man United Yagonga Mwamba kwa Dili la Carlos Baleba

Klabu ya Manchester United imepata pigo katika juhudi zake za kumsajili kiungo mkabaji wa Brighton, Carlos Baleba, baada ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England kusisitiza kuwa mchezaji huyo hauzwi kwa sasa. Taarifa zinasema kuwa Manchester United ilifanya mawasiliano rasmi na Brighton ili kuanza mazungumzo ya kumnasa nyota huyo raia wa Cameroon, lakini Brighton […]

Read More