MKE WA MIRACLE BABY CAROL KATRUE KUMFUNGULIA MASHTAKA BABY MAMA WA MSANII HUYO TASH BABY

MKE WA MIRACLE BABY CAROL KATRUE KUMFUNGULIA MASHTAKA BABY MAMA WA MSANII HUYO TASH BABY

Mke wa msanii Peter Miracle Baby, Carol Katrue amehapa kumfungulia mashataka baby mama wa msanii huyo kwa madai ya kuwakodisha watu wawaribie brand yao. Katika mahojiano yake amesema baby mama huyo aitwaye Tash Baby amekuwa akiwalipa watu wawaribie jina kitu ambacho kimewapelekea kupoteza dili la shillingi millioni 1 kutokana na skendo ambazo zimekuwa zikiwafuata katika […]

Read More