EDDY YAWE NA CAROL NANTONGO WAMALIZA TOFAUTI ZAO

EDDY YAWE NA CAROL NANTONGO WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Carol Nantongo and msanii mkongwe nchini Uganda Eddy Yawe walitubariki na smash hit yao iitwayo “Tukigale” mwaka wa 2018. Wimbo huo ulifanya vizuri sokoni lakini wawili hao walikuja wakaiingia kwenye ugomvi kutokana na umiliki wake wa Tukigale kiasi cha kutotumbuiza wimbo huo kwenye matamasha mbali mbali ya muziki. Hata hivyo wikiendi hii iliyopita wawili hao […]

Read More
 CAROL NANTONGO AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU BENDI YA MUZIKI YA GOLDEN

CAROL NANTONGO AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU BENDI YA MUZIKI YA GOLDEN

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Carol Nantongo amefunguka sababu iliyofanya kujiondoa kwenye bendi ya muziki ya Golden. Katika mahojiano yake hivi karibuni Carol Nantongo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya “Oliwa” amesema bendi hiyo haikuwa na mazingira mazuri ya kufanyia muziki kwa sababu wanachama wake walianza kuchanganya kazi na siasa. Mwaka wa 2020 Carol Nantongo […]

Read More