CARTOON 47 ALALAMIKA KUTENGWA KWENYE MAFANIKIO YA WIMBO WAKE MPYA

CARTOON 47 ALALAMIKA KUTENGWA KWENYE MAFANIKIO YA WIMBO WAKE MPYA

Msanii Cartoon 47 ameonesha kutoridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya uitwao Haiwezi ambao amemshirikisha Stevo Simple Boy na Ntosh Ngazi. Katika mahojiano yake hivi karibuni Cartoon 47 amesema watu wamekuwa wakimchukulia stevo kama mmiliki wa wimbo huo wakati yeye ndiye aligharamia mchakato wa kutayarisha wimbo wenyewe kwa kumleta Ntosh Gazi kutoka Afrika Kusini. Aidha […]

Read More