Cartoon Comedian aachia wimbo mpya baada mahusiano yake kuvunjika
Mchekeshaji aliyegeukia muziki Cartoon Comedian ameachia rasmi wimbo wake mpya uitwao “Mbona Unacheat” wiki kadhaa baada ya kutangaza kuwa ameachana na mpenzi wake. Wimbo huo ambao uliachiwa rasmi Oktoba 23, video yake imefanikiwa kufikisha zaidi watazamaji laki moja kwenye mtandao wa Youtube . Kuachiwa kwa wimbo wa “Mbona Unacheat” umekuja siku moja baada ya Cartoon […]
Read More