Cassie Amuomba Hakimu Asimwachilie Diddy kwa Dhamana
Casandra “Cassie” Ventura, mpenzi wa zamani wa rapa maarufu Sean “Diddy” Combs, amewasilisha ombi rasmi mahakamani akiomba msanii huyo asiachiliwe kwa dhamana, akieleza kuwa usalama wake uko mashakani endapo ataachiliwa kabla ya hukumu kutolewa. Katika barua iliyowasilishwa kwa Jaji Arun Subramanian, Cassie amesema anahofia maisha yake na usalama wa mashahidi wengine waliohusika katika kesi hiyo. […]
Read More