Cashmeer Aomba Radhi Baada ya Sakata la Harusi Feki

Cashmeer Aomba Radhi Baada ya Sakata la Harusi Feki

Mjasiriamali na mrembo maarufu katika mitandao ya kijamii, Cashmeer, ameomba radhi kwa waalikwa wake, wakiwemo influencers mbalimbali, kufuatia mkanganyiko uliotokea baada ya tukio lililodhaniwa kuwa ni harusi, kubainika kuwa ni uzinduzi wa biashara mpya. Tukio hilo lililoandaliwa kwa mtindo wa harusi ya kifahari, liliwahusisha watu mashuhuri katika mitandao ya kijamii, ambao wengi wao walijitokeza wakiwa […]

Read More