MISS CASHY: KHALIGRAPH JONES AMETIA NIA YA KUANZA KUMPA MTOTO WAKE MATUNZO LICHA YA KUMKANA
Baby mama wa Rapa Khaligraph Jones, Miss Cashy amedai kwamba rapa huyo kwa sasa ameanza kuonyesha nia ya kutaka kumhudumia mtoto wake ikiwa ni miezi kadhaa imepita tangu amkane hadharani kwamba hamfahamu kabisa. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram Miss Cashy amesema mwenyezi Mungu amejibu maombi yake kwa kumfanya rapa huyo abadili mawazo […]
Read More