CAMILA CABELLO AFIKISHA MAUZO YA DIAMOND KUPITIA WIMBO WA “HAVANA”
Wimbo wa msanii camila cabello kutoka nchini Cuba uitwao “Havana” uliotoka mwaka wa 2017 ambao amemshirikisha rappa Young Thug, umefanikiwa kuuza (units) millioni 10 ambayo ni ngazi ya juu kabisa. Camila ambaye ni member wa kundi bora la muziki kuwahi kutoka ulimwenguni la fifty harmony, kutokana na hatua hiyo chama cha Recording Industry Association of […]
Read More